Juma Athumani Kapuya

(Elekezwa kutoka Juma Athuman Kapuya)

Juma Athumani Kapuya (amezaliwa tar. 22 Juni 1945) ni mbunge wa jimbo la Urambo Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Mengi kuhusu Juma Athumani Kapuya (1 Februari 2007). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.