Open main menu

Juma Jamaldin Akukweti

Juma Jamaldin Akukweti (alizaliwa tar. 20 Septemba 1947 - 4 Januari 2007) alikuwa Waziri nchini Tanzania, Ofisi ya Waziri Mkuu, pia alikuwa Mbunge katika Bunge la Tanzania.

Kifo chakeEdit

Mhe. Akukweti alifariki dunia kwa majeraha aliyopata kutokana na ajali ya ndege iliyotokea Mbeya, mnamo tarehe 16 Desemba mwaka 2006, na kufariki dunia tarehe 4 Januari ya mwaka 2007.