Jumba la AACC, Nairobi

Jumba la AACC ni jumba la mikutano na la ofisi. Liko katika eneo la Westlands, Nairobi, Kenya. Liko mkabala wa jumba la Safaricom.