Käthe Menzel-Jordan

Käthe Menzel-Jordan (jina la kuzaliwa Hertel; alizaliwa tarehe 7 Septemba 1916) ni mbunifu na mlinzi wa majengo kutoka Ujerumani. Yeye ndiye mshiriki mzee zaidi wa Chama cha Wasanifu wa Majengo cha Thuringia na anaishi Erfurt.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Käthe Menzel-Jordan wird 100 Jahre alt". Kirchenkreis Erfurt. Iliwekwa mnamo 2016-09-19.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Käthe Menzel-Jordan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.