Kütahya ni mji uliopo magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mji una wakazi wapatao 213,000 (makisio ya mwaka wa 2007). Upo karibu na mto Porsuk, mita 969 kutoka juu ya usawa wa bahari. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Kütahya, unaokaliwa na watu 684,082 (2007). Mkoa wa Kütahya una eneo kubwa la miteremko midogo midogo yenye mashamba iliyopo milimani kaskazini na magharibi. Jina la Kiroma la mji huu lilikuwa Cotyaeum, jina linatumika kama ndiyo kianzio cha Catholic.[1]

Mnara wa Saa wa mjini hapa.

Marejeo

hariri
  1. www.newadvent.org/cathen/04422a.htm Catholic Encyclopaedia: Cotiaeum.

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kütahya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.