KIRASA
Kijilisi rasilimali sare (KIRASA), vilevile anuani ya mtandao, ni marejeleo yanayoonyesha pahali pa rasilimali ya mtandao.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ Kamusi Sanifu ya Kompyuta. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam: Taasisi ya Taaluma za Kiswahili. 2011. ku. 190–191.
- ↑ Petzell, Malin (2005). "Expanding the Swahili Vocabulary". Africa & Asia. 5: 85–107.