Kaa
Kaa ni neno la kiswahili ambalo lina maana zaidi ya moja na linaweza kumaanisha:
- Kaa (Mnyama mwenye magamba) ni aina ya mnyama ambaye yupo katika kundi la krasteshia anayeishi baharini na ana jozi tano za miguu.
- Kaa (Kitenzi) ni moja ya kitenzi kinachoashiria namna ya kupumzika kwenye kiti badala ya kulala wala kusimama.