Ukabaila
(Elekezwa kutoka Kabaila)
Ukabaila (kutoka Kiarabu: مقابل muqabil "aliyezaliwa katika ukoo maarufu"; kwa Kiingereza pengine linatafsiriwa feudalism) ni mfumo wa uchumi wa kumiliki majumba na ardhi kwa wingi sana na kupangisha watu wengine kwa malipo.
Ukabaila ndio mfumo wa kwanza wa uchumi wenye unyonyaji.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ukabaila kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |