Kabale

mji wa Magharibi mwa Uganda

Kabale ni mji mkuu wa Wilaya ya Kabale nchini Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 50,500.

Picha ya Angani ya Mji wa Kabale


Majiranukta: 01°15′0″S 29°59′24″E / 1.25000°S 29.99000°E / -1.25000; 29.99000
Nchi Uganda
Mkoa Magharibi
Wilaya Kabale
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 50,500
Picha kuonesha mazingira ya juu ya Kabale

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: