Kabinda (pia: Cabinda, Chioua) ni mji uliopo kaskazini magharibi mwa nchi ya Angola katika mkoa wa Kabinda. Ndio mji mkuu wa mkoa.

Ramani ya Angola pamoja na Kabinda.
Ramani ya Mkoa wa Kabinda

Mwaka 2014 idadi ya watu ilikuwa 624,646.

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kabinda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.