Kabinda ni mji ulio makao makuu ya mkoa wa Lomami, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (zamani ilijulikana kama Zaire).

Makadirio ya idadi ya watu ni 192,364 (2010[1]).

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. World Gazetteer: Congo (Dem. Rep.): largest cities and towns and statistics of their population Archived 2011-05-22 at the Wayback Machine Mars 2011
  Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kabinda (Lomami) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.