Faustine Kabuzi Rwilomba

(Elekezwa kutoka Kabuzi Faustine Rwilomba)

Faustine Kabuzi Rwilomba (amezaliwa tarehe 15 Juni 1952) ni mbunge wa jimbo la Busanda katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Faustine Kabuzi Rwilomba". 19 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-27. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.