Kadi mchoro ni sehemu ya tarakilishi inayotoa picha katika kiwambi cha tarakilishi.

Kadi mchoro inaitwa ATI Radeon 5970

Kadi mchoro za kwanza zilizoumbwa zilikuwa 2D. Kadi mchoro za 3D za kwanza ziliundwa mwaka wa 1981.

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.