Kadi ya mtandao

Kadi ya mtandao ni sehemu ya tarakilishi inayoruhusu kutumia intaneti.

Kadi ya mtandao inayoitwa PCI Gigabit Ethernet.