Kahawia (pia: hudhurungi kutoka neno la Kiarabu) ni rangi mojawapo. Inafanana na maji ya kunde, udongo na kahawa: ndiyo asili ya jina lake.

Vitu vyenye rangi ya kahawia Edit