Kahramanmaraş

Kahramanmaraş ni mji uliopo mjini mashariki mwa nchi ya Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Kahramanmaraş. Mji una wakazi takriban 326,198, kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2000.

Picha:Kahramanmaras merkez.jpg
Mji wa Kahramanmaras.
Covered Market of Marash

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kahramanmaraş kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.