Kayseri ni mji uliopo katikati ya nchi ya Uturuki. Mji huu wa Kayseri umezoeleka kuitwa Mazaka au Kaisareia.

Juu: Uwanja wa Kadir Has, wa pili kushoto: Sivas Avenue, 2 kulia: Sanamu ya Atatürk na kuta za jiji la Kayseri nyuma, 3: Tekin wilaya ya biashara na Oto Park, Chini kushoto: Kayseri Castle usiku, kulia chini: Kayseray.
Metropolitan ya Wilaya za Kayseri.

Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Kayseri na unakadiriwa kuwa na lundiko la watu takriban milioni 1.

Mji upo mita 1,050 juu ya usawa wa bahari.

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kayseri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.