Kaizari Federiki III
(Elekezwa kutoka Kaisari Federiki III)
Federiki III (21 Septemba 1415 – 19 Agosti 1493) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 1440 hadi kifo chake. Alimfuata binamu yake Albert II, na kufuatiwa na mwana wake Maximilian I. Tarehe 19 Machi 1452, alivishwa taji la Kaizari na Papa Nikolasi V mjini wa Roma, akiwa Kaizari wa mwisho kuvishwa hivyo.
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Ujerumani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Federiki III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |