Valentinian III

(Elekezwa kutoka Kaisari Valentiniani III)

Valentinian III (2 Julai, 41916 Machi, 455) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 23 Oktoba, 425 akiwa na umri wa miaka sita tu, hadi kifo chake. Alimfuata Honorius.

Kaizari Valentinian III pamoja na dada na mama yake

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Valentinian III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.