Kaiso, Uganda
Mhali ilipo
haririKaiso ipo katika mwambao wa mashariki mwa Ziwa Albert katika wilaya ya Hoima. Ipo takriban kilimita 61 sawa na maili 38 umbali kwa barabara kutokea magharibi mwa makao makuu ya wilaya huko Hoima kando ya Barabara ya Hoima – Kaiso – Tonya.[1] Pia ni takriban kilomita 258 sawa na maili 160 umbali kwa barabara kutokea kaskazini magharibi mwa Kampala ambao ni mji mkuu wa Uganda na jiji kubwa zaidi.[2], Ikiwa na majira nukta (1 ° 31'48.0 "N, 30 ° 57'58.0" E (Latitude: 1.5300; Longitude: 30.9661)).[3]
Marejeo
hariri- ↑ GFC, . (23 Agosti 2015). "Road Distance Between Hoima And Kaiso With Map". Globefeed.com (GFC). Iliwekwa mnamo 23 Agosti 2015.
{{cite web}}
:|first=
has numeric name (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ GFC, . (23 Agosti 2015). "Map Showing Kampala And Kaiso With Route Marker". Globefeed.com (GFC). Iliwekwa mnamo 23 Agosti 2015.
{{cite web}}
:|first=
has numeric name (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Kigezo:Google maps
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaiso, Uganda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |