Kaizari Ferdinand I

ukarasa wa maana wa Wikimedia

Ferdinand I (10 Machi 150325 Julai 1564) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 1558 hadi kifo chake. Alimfuata kaka yake, Karoli V, na kufuatiwa na Maximilian II.

Kaizari Ferdinand I
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Ujerumani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Ferdinand I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.