Markian (3962 Januari, 457) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma Mashariki kuanzia mwaka wa 450, alipomwoa Pulcheria, dada wa marehemu Kaizari Theodosius II, hadi kifo chake. Alifuatiliwa na Leo I.

Shaba inayoonyesha Kaizari Markian

Tazamia pia

hariri
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marcian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.