Rudolf II (18 Julai 155220 Januari 1612) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 12 Oktoba 1576 hadi kifo chake. Alimfuata baba yake, Maximilian II, na kufuatiwa na mdogo wake, Matthias.

Kaizari Rudolf II
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Ujerumani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Rudolf II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.