Kalunguyeye

Kalunguyeye
Kalunguyeye tumbo-jeupe (Atelerix albiventris)
Kalunguyeye tumbo-jeupe (Atelerix albiventris)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele)
Oda: Eulipotyphla (Wanyama kama kalunguyeye)
Familia: Erinaceidae (Wanyama walio na mnasaba na kalunguyeye)
Nusufamilia: Erinaceinae
Ngazi za chini

Jenasi 5:

Kalunguyeye ni wanyama wenye miiba wa nusufamilia Erinaceinae katika familia Erinaceidae.

Wanyama wengine ambao wana miiba ni nungunungu na ekidna, lakini hawa hawana mnasaba mmoja na kalunguyeye. Nungunungu wamo katika oda ya wagugunaji (Rodentia) na ekidna katika oda ya mamalia wanaotaga mayai (Monotremata), ambapo kalunguyeye ni wanyama wanaokula wadudu (oda Eulipotyphla au oda za zamani Erinaceomorpha na Insectivora).

Spishi za AfrikaEdit

Spishi za mabara mengineEdit

PichaEdit

Viungo vya njeEdit

Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Wikimedia Commons ina media kuhusu: