Kamati ya Olimpiki Tanzania

Kamati ya Olimpiki ya Tanzania (ikitambuliwa na kamati ya kimataifa ya Olimpiki kwa jina TAN) ni Kamati ya Kitaifa ya Olimpiki inayowakilisha Tanzania. Iliundwa na kutambuliwa na Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki mnamo 1968[1]

Tanzania ilianza kwa mara ya kwanza katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya 1964 huko Tokyo ambapo iliwakilishwa na wanariadha wanne.[2]

Marejeo hariri

  1. "Tanzania Olympic Committee". Tanzania Olympic Committee (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2023-05-20. 
  2. "Tanzania at the 1964 Tokyo Summer Games | Olympics at Sports-Reference.com". web.archive.org. 2020-04-17. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-09-17. Iliwekwa mnamo 2023-05-20.