Kanda
Kanda ni neno la Kiswahili linaloweza kumaanisha:
- Kanda (kifaa) – kifaa kinachotumika kuhifadhia kumbukumbu kwa njia ya sauti.
- Kanda(kitenzi) – tendo la kuminyaminya kwa kitambaa kilichochovya kwenye maji ya moto au vuguvugu ili kupumguza maumivi au uvimbe katika mwili.
- Kanda(kitenzi) – tendo la kufinyanga unga au udongo kwa kuchanganya na maji.