Kande ni chakula kinachopikwa kwa kuchanganya punje za mahindi na maharagwe au kunde, lakini pia maboga n.k.

aina ya kande kutoka mashariki ya mbali.

Ni utamaduni wa baadhi ya makabila, kwa mfano nchini Tanzania Wapare, Wabena n.k.

Kande huwa zinalika sana kwenye shule nyingi, hasa za bweni.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kande kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.