Kansas City, Missouri
(Elekezwa kutoka Kansas City)
Kansas City ni mji wa Marekani katika jimbo la Missouri.
Jiji la Kansas City | |
Mahali pa mji wa Kansas City katika Marekani |
|
Majiranukta: 39°4′35″N 94°33′19″W / 39.07639°N 94.55528°W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Missouri |
Wilaya | Jackson Clay Platte Cass |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 508,000 |
Tovuti: www.kcmo.org |
Mji una wakazi wapatao 508,000 lakini rundo la jiji linao milioni 2.2 wanaoishi katika mji huu.
Mji upo mita 277 juu ya usawa wa bahari.
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kansas City, Missouri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |