Kanungu ni mji mkuu wa Wilaya ya Kanungu nchini Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 14,600.

Ramani kuonesha Wilaya ya Kanungu Uganda

Tazama pia hariri


 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: