Kapasita (kutoka Kiingereza: "capacitor") ni kifaa kinachotumika kutunza chaji ya umeme kwa muda mrefu kuliko betri.

Kapasita mbalimbali zilivyo.
Alama wakilishi za aina tatu za kapasita.

Ilibuniwa na Mjerumani Ewald Georg von Kleist mnamo Oktoba 1745[1].

TanbihiEdit

  1. Williams, Henry Smith. A History of Science Volume II, Part VI: The Leyden Jar Discovered. Iliwekwa mnamo 2013-03-17.

Viungo vya njeEdit

Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno: