Kapchorwa ni mji mkuu wa Wilaya ya Kapchorwa nchini Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 11,300.

Ramani kuonesha Kapchorwa Uganda

Tazama pia hariri


 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: