Kaprasi wa Lerins (alifariki Lerins, Provence, Ufaransa, 430) alikuwa mkaapweke wa Kanisa Katoliki aliyeanzisha monasteri katika kisiwa kidogo kisichokaliwa na watu pamoja na Honorati wa Arles[1] ili kufuata mifano ya Mababu wa jangwani kadiri ya kanuni ya Pakomi[2][3].

Kanisa na monasteri ya Lérins.
Visiwa vya Lerins; kile cha Mt. Honorati kiko kushoto.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Juni[4][5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. St. Caprasius - Saints & Angels - Catholic Online
  2. "Caprasius Presbyter at Lerins", A Dictionary of Early Christian Biography (Henry Wace, ed.)
  3. Hilarius of Arles, who had been a monk at Lérins before becoming bishop of Arles, composed a laudatio in honor of Caprasius after the latter’s death, which is the main source for Caprasius’ life.
  4. Martyrologium Romanum
  5. Great Synaxaristes: Ὁ Ὅσιος Καρπάσιος τῶν Λερίνων. 1 Ιουνίου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.