Karim Aït-Fana (Kiarabu: كاريم ايت-فانا‎; alizaliwa 25 Februari 1989) ni mchezaji wa soka wa Morocco anayecheza kama mshambuliaji. Akiwakilisha Ufaransa katika ngazi mbalimbali za vijana, amecheza mechi tatu katika timu ya taifa ya Morocco.[1]

Karim Ait Fana

Mafanikio

hariri

Montpellier

Tanbihi

hariri
  1. "Interview Exclusive: Karim AIT FANA". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Desemba 2008. Iliwekwa mnamo 29 Novemba 2008. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karim Aït-Fana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.