Karim Aribi (alizaliwa 24 Juni 1994) ni mchezaji wa soka wa Algeria ambaye anashiriki kama mshambuliaji katika klabu ya Saudi Arabia Al-Qadsiah na timu ya taifa ya Algeria.[1]

Mafanikio hariri

CR Belouizdad

  • Algerian Cup: 2017

Étoile Sahel

  • Arab Club Champions Cup: 2018–19

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karim Aribi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.