Karim Baïteche (alizaliwa 10 Julai 1991) ni mwanasoka wa Algeria ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya RC Kouba katika Ligi ya 2 nchini Algeria.[1]

Heshima hariri

Klabu USM Alger

  • Mshindi KAtika Ligi Ya Algerian Ligue Professionnelle 1 (2): 2013-14, 2015-16 [2]
  • Kombe la Algeria (1): 2013
  • Kombe la Super la Algeria (1): 2013
  • Kombe la Klabu ya UAFA (1): 2013

Marejeo hariri

  1. "Karim Baïteche". soccerway.com. Iliwekwa mnamo 8 October 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Karim Baïteche", Soccerway. Retrieved on 29 June 2015. 

Viungo Vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karim Baïteche kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.