Karim El Ahmadi
Karim El-Ahmadi Aroussi (كريم الأحمدي; alizaliwa 27 Januari 1985) ni mchezaji wa soka anayecheza kama kiungo wa ulinzi. El-Ahmadi alizaliwa Uholanzi na amecheza katika timu za FC Twente na Feyenoord kabla ya kuhamia Ligi Kuu ya Premier League na klabu ya Aston Villa mnamo 2012, na kisha kurejea Feyenoord mnamo Septemba 2014 kabla ya kuhamia Al-Ittihad katika Saudi Professional League mnamo 2018. Ingawa amezaliwa Uholanzi, yeye hucheza katika timu ya taifa ya Morocco.
Heshima
haririTwente
Feyenoord
- Eredivisie: 2016–17
- KNVB Cup: 2015–16, 2017–18;[1] fainali: 2009–10
- Johan Cruijff Shield: 2017
Al Ittihad
- Fainali ya Kombe la Mfalme: 2019[2]
- Fainali ya Saudi Super Cup: 2019[3]
Binafsi
Marejeo
hariri- ↑ Feyenoord wint KNVB-beker mede dankzij prachtgoal Van Persie - AD Kigezo:In lang
- ↑ "Al Taawoun stun Al Ittihad to win Saudi King's Cup". AFC Official Site. 3 Mei 2019. Iliwekwa mnamo 2 Mei 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: url-status (link) - ↑ "Al-Hilal defeats Al-Ittihad in Saudi Super Cup final in London", Al Arabiya News, 18 Agosti 2020.
Viungo vya nje
hariri- Voetbal International – Karim El Ahmadi Archived 19 Januari 2013 at the Wayback Machine. (Kiholanzi)
- Karim El Ahmadi FIFA competition record
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Karim El Ahmadi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |