Kata

Majukumu ya afisa mtendaji wa kata

Kata (kwa Kiingereza ward) ni ngazi ya chini ya utawala wa nchi.

Kata ziko chini ya wilaya (district) na kila wilaya huwa na kata kadhaa.

Nchini Tanzania afisa mtendaji wa kata huitwa pia Katibu Kata.

Ndani ya kila kata kuna vijiji au kama ni kata ya mjini kuna mitaa ndani yake.

Ndani ya Jamhuri ya Watu wa Zanzibar kata huitwa "shehia".