Katana Gégé Bukuru

Mwanaharakati wa Haki za Wanawake

Katana Gégé Bukuru (alizaliwa 31 Desemba 1963 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ) ni mwanaharakati wa Kongo anayepigania haki za wanawake . Pia ni mwanzilishi wa SOFAD (Solidarity of women activists for the defense of human rights). [1]

Katana Gégé Bukuru

Bukuru anajulikana kama "Iron Lady" wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kwa kujitolea kwake kwa ujasiri katika kupigania haki za wanawake.

Marejeo hariri

  1. "SOFAD - Solidarité des Femmes Activistes pour la Défense des Droits Humains[Solidarity Movement of Women Human Rights Activists]". sofadinternational.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-03-08. Iliwekwa mnamo 2018-03-08. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Katana Gégé Bukuru kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.