Katsushika Hokusai
Katsushika Hokusai (1760– 10 Mei 1849) alikuwa mchoraji mashuhuri nchini Japan. Aliishi wakati wa nasaba ya Edo. Alichora hasa picha za nchi na mazingira. Mfumo aliotumia hasa ilikuwa chapisho za picha nakhshi katika ubao. Mtindo wake hujulikana kama "ukiyo-e".
Picha mashuhuri za Hokusai
hariri-
Wimbi kubwa mbele ya Kanagawa