Katunguru ni mji mdogo ndani ya Wilaya ya Rubirizi katika mkoa mdogo wa Ankole kwenye mkoa wa magharibi wa Uganda.

Ramani ya Uganda

Mahali

hariri

Katunguru inapatikana kusini mwa Ikweta, barabara ya Kikorongo-Ishaka. Mji unakadiriwa kuwa na kilometer 19 sawa na maili 12 kwa barabara kutoka kaskazini mwa Rubirizi, makao makuu ya mji huo[1].Hii ni kusini mwa kingo za Mfereji wa Kazinga ambao unaunganisha Ziwa George na Ziwa Edward na kuunda mpaka wa wilaya ya Kasese na wilaya ya Rubirizi kaskazini. Katunguru imeegemea kwenye mipaka ya Mbuga ya Queen Elizabeth (Uganda)

Vivutio ndani ya Katunguru

hariri

Zifuatazo ni sehemu muhimu zinazopatikana ndani ya mji au pemebezoni karibu ya mji

  • Ofisi ya halmashauri ya mji wa Katunguru
  • Makao makuu ya Mji mdogo wa Katunguru
  • Soko kuu la Katunguru
  • Shule ya sekondari ya Katunguru

Marejeo

hariri