Kaunti ya Bungoma
Kaunti ya Bungoma ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 1,670,570 katika eneo la km2 3,023.9, msongamano ukiwa hivyo wa watu 552 kwa kilometa mraba[1].
Makao makuu yako Bungoma.
Utawala
haririKaunti ya Bungoma ina maeneo bunge yafuatayo[2]:
- Bumula 215,892
- Bungoma Central 177,748
- Bungoma East 114,548
- Bungoma North 121,317
- Bungoma South 287,765
- Cheptais 136,035
- Kimilili-Bungoma 162,038
- Mt. Elgon 78,873
- Bungoma West 119,875
- Tongaren 100,343
- Webuye West 152,515
- Mt. Elgon Forest 3,621
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
- ↑ http://countytrak.infotrakresearch.com/Bungoma-county/
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaunti ya Bungoma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |