Kaunti ya Samburu

Kaunti ya Kenya

Kaunti ya Samburu ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Kaunti ya Samburu
Kaunti
Uundaji wa matofali katika Samburu
Kaulimbiu: ""

Kaunti ya Samburu katika Kenya
Coordinates: 1°10′N 36°40′E / 1.167°N 36.667°E / 1.167; 36.667
Nchi Kenya
Nambari25
IlianzishwaMachi 4, 2013
Ilitanguliwa naMkoa wa Bonde la Ufa
Mji mkuuMaralal
Miji mingineBaragoi, Archers Post, South Horr, Wamba, Lodosoit
Serikali
GavanaMoses Kasaine Lenolkulal
Naibu wa GavanaJulius Lesseto Lawrence
SenetaSteve Lelegwe
Mwakilishi wa wanawakeMaison Leshoomo
BungeBunge la Kaunti ya Samburu
Wawakilishi Wadi15
Maeneo bunge3
Eneo
Jumlakm2 21 065.1 (sq mi 8 133.3)
Idadi ya Watu
Jumla310,327
Msongamano15 /km²
Majira ya SaaSaa za Afrika Mashariki (UTC+3)
Tovuti
samburu.go.ke

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 310,327 katika eneo la km2 21,065.1, msongamano ukiwa hivyo wa watu 15 kwa kilometa mraba[1].

Makao makuu yako Maralal.

Jiografia

hariri

Kaunti ya Samburu ina eneo la km2 20 182.5 (sq mi 7 792.5). Imepakana na Marsabit, Turkana (kaskazini), Isiolo (mashariki), Laikipia (kusini) na Baringo (mashariki).

Ina hali ya tabianchi kavu na nusu kavu.

Hifadhi ya Taifa ya Samburu, Msitu Loroki, Mlima Ng'iro, Milima Ndoro na Ol Doinyo Lenkiyo hupatikana Samburu[2].

Utawala

hariri

Kaunti ya Samburu ina maeneo bunge yafuatayo[3]:

Eeneo bunge Kata
Samburu Mashariki Waso, Wamba Magharibi, Wamba Mashariki, Wamba Kaskazini
Samburu Kaskazini El-Barta, Bachola, Ndoto, Nyiro, Angata Nayokie, Baawa
Samburu Magharibi Lodokejek, Suguta Marmar, Maralal, Loosuk, Porro

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [4]

hariri
  • Samburu Central 164,942
  • Samburu East 77,994
  • Samburu North 67,391

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
  2. "eLimu | Counties in Kenya". learn.e-limu.org (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-25. Iliwekwa mnamo 2018-10-17.
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-04. Iliwekwa mnamo 2021-09-04.
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.