Kaunti ya Vihiga ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Picha ya ramani ikionesha eneo la Kaunti ya Vihiga, Kenya

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 590,013 katika eneo la km2 563.8, msongamano ukiwa hivyo wa watu 1,047 kwa kilometa mraba[1].

Makao makuu yako Vihiga.

Utawala hariri

Kaunti ya Vihiga imegawanywa katika maeneo bunge yafuatayo[2]:

Eneo bunge Kata
Emuhaya North East Bunyore, Central Bunyore, West Bunyore
Hamisi Shiru, Gisambai, Shamakhokho, Banja, Muhudi, Tambaa, Jepkoyao
Luanda Luanda Mjini, Wemilabi, Mwibona, Luanda South, Emabungo
Sabatia Lyaaduywa/Izava, West Sabatia, Chavakali North, Maragoli, Wodanga, Busali
Vihiga Lugaga-Wamuluma, South Maragoli, Central Maragoli, Mungoma

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [3] hariri

  • Emuhaya 97,141
  • Vihiga 95,292
  • Sabatia 131,628
  • Luanda 106,694
  • Hamisi 159,241
    • Kakamega Forest 17

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30. 
  2. http://countytrak.infotrakresearch.com/Vihiga-county/
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.