Mkoa wa Kavango

(Elekezwa kutoka Kavango)

Mkoa wa Kavango ni moja ya mikoa 13 ya kujitawala ya Namibia lenye wakazi 201,093 kwenye eneo la 43,418 km². Mji mkuu ni Rundu.

Mahali pa Kavango katika Namibia

Jiografia hariri

Miji mikubwa ni pamoja na Rundu na Nkurenkuru.

Okavango na Kwando ni mito muhimu zaidi.

Picha za Kavango hariri

Tovuti za Nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Namibia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kavango kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
Mikoa ya Namibia
 
Caprivi | Erongo | Hardap | Karas | Kavango | Khomas | Kunene | Ohangwena | Omaheke | Omusati | Oshana | Oshikoto | Otjozondjupa