Kawéni ni kati ya vijiji ndani ya mji wa Mamoudzou kwenye kisiwa cha Mahore. Ina wakazi 10,000. Iko 2 km kutoka kitovu cha mji. Hapa kuna eneo la viwanda.

Viungo vya njeEdit