Ken Barker
Ken Barker ni kasisi wa Kanisa Katoliki wa Australia. Yeye ni msimamizi wa shirika la kimisionari la Missionaries of God's Love na mwanzilishi wa vuguvugu la Young Men of God Movement. [1]
Marejeo
hariri- ↑ Catholic Communications, Sydney Archdiocese Archived 2010-09-27 at the Wayback Machine
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |