Ken Hackett
Kenneth Francis Hackett (amezaliwa Januari 27, mwaka 1947) Aliweza kutumikia kama balozi wa marekani kule Holy see kuanzia Agosti 2013 mpaka January 2017.[1]Awali alikuwa ni Raisi wa Catholic Relief service (CRS)
Hackett aliweza kuhudhuria Chuo cha Boston akihitimu mnamo mwaka 1968. Badae aliweza kujiunga na vikosi vya amani na aliweza kutumikia kule Ghana. Baaada ya hapo, aliweza kujiunga Catholic Relief Service (CRS), akitumikia Afrika na Asia. Aliweza kupatiwa uraisi wa CRS mwaka 1993, akistaafu mwaka 2011.[2]
Aliteuliwa katika majukumu ya ubalozi na Rais Barack Obama Juni 2013 na akathibitishwa na Seneti Agosti 1, mwaka 2013[3]
Marejeo
hariri- ↑ Schuh, Christoph (2013). "Die Huffington Post Deutschland". MedienWirtschaft. 10 (4): 8–12. doi:10.15358/1613-0669-2013-4-8. ISSN 1613-0669.
- ↑ "President Obama and Former Gov. Romney Meet in Second Presidential Debate: October 16, 2012", Historic Documents of 2012, CQ Press, ku. 482–494, 2013, iliwekwa mnamo 2022-08-15
{{citation}}
: line feed character in|title=
at position 75 (help) - ↑ "Cable from Czechoslovak Ambassador to Washington Karel Duda, to Prague, August 21, 1968", The Prague Spring, 1968, Central European University Press, ku. 449–449, 1998-01-01, iliwekwa mnamo 2022-08-15
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ken Hackett kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |