Ken Walibora

Mwandishi wa Kikenya.

Ken Walibora (6 Januari 1965 - 10 Aprili 2020) alikuwa mwandishi kutoka Kenya.

Ken Walibora
Ken Walibora enzi ya uhai wake
Ken Walibora enzi ya uhai wake
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Ken Walibora
Amezaliwa 6 Januari 1965
Baraki, Bungoma, Kenya
Asili yake Nairobi, Kenya

Maisha

hariri

Ken Walibora alizaliwa Baraki, Bungoma, Kenya mwaka wa 1965. Jina la mama yake lilikuwa Ruth Makali.

Alihudhuria shule hizi:

  • Shule ya msingi ya St. Joseph
  • Teremi, Suremi secondary school
  • Ole Kajiado High School
  • Koelel
  • Chuo Kikuu cha Nairobi
  • Ohio University, Marekani

Aliaga dunia baada ya kugongwa na gari tarehe 10 Aprili 2020.[1]

Vitabu

hariri
  • Ken Walibora: Siku Njema. Longhorn Publ., 1996. ISBN 996-64-9744-7
  • Ken Walibora: Kidagaa Kimemwozea. Target Publ., 2012. ISBN 996-60-0286-3
  • Ken Walibora: Kufa Kuzikana. Longhorn Publ., 2003. ISBN 9966-49-754-4
  • Ken Walibora: Ndoto ya Almasi. Moran Publishers and Worldreader, ASIN B01JMHLGCW
  • Ken Walibora na Said Mohamed: Damu Nyeusi na Hadithi Nyingine. Moran Publishers and Worldreader, 2016. ASIN B01CLHF3ME
  • Ken Walibora: Ndoto ya Amerika. Longhorn Publ. and Worldreader, 2016. ASIN B06VWP4TX5

Marejeo

hariri
  1. Kenyan author Ken Walibora dies, East African 15.04.2020

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ken Walibora kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.