Kengele ya Amani (Newport, Kentucky)
Kengele ya Newport, Kentucky, Kengelea ya Amani ni moja ya kengele za Amani duniani ina uzito wa 30,000 kg na mita 3.7. tangu mwaka 2000 mpaka 2006, ilikuwa ni kengele kubwa ya kuning’inia duniani. Iliwekwa wakfu Desenba 31, 1999 na ikaning’inizwa mwakwa 2000 ulipoanza. Kuendelea kutunza maudhui yake ya Amani ya dunia , kengele ina maandishi ya ukumbusho wa tamko la haki za kibinadamu na kuashiria matukio muhimu ya zamani miaka ya 1000.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Lucas, Kenneth Ray, In Honor of the World Peace Bell and the City of Newport, Kentucky, iliwekwa mnamo 2022-08-15
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |