Kenneth Geddes Wilson (amezaliwa 8 Juni 1936) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Baadhi ya utafiti mwingine alijitahidi kueleza nadharia ya fizikia kwa jumla. Mwaka wa 1982 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kenneth Wilson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.